Friday, November 9, 2007

WANAWAKE NA MAENDELEO


HAWA NI BAADHI YA WAKE WAVIONGOZI WANGAZIYA JUU SERIKALINI WAKIFUETILIA JAMBO KATIKA MKUTANO MKUU WA 8 WA CHAMA CHA MAPINDUZI,HII INAONYESHA JINSI GANI WANAWAKE WALIVYO MSTARI WA MBELE KAMA INAVYO ONEKANA KATIKA PICHA,HII NI KATIKA KULETA MAENDELEO YA TAIFA LETU.

TAIFA BORA


RAIS MSTAAFU MZEE BENJAMIN MKAPA AKIMPATIA RAIS JK MAWAZO YENYE MWELEKEO MWEMA KWA TAIFA LA TANZANIA,KATIKA ULIMWENGU HUU WA UTANDAWAZI.

SERENGETI





SASA SERENGETI IKO KATIKA MAAJABU KAMA SIO 7 NI 8 YA DUNIA,HII NIKUTOKANA NA WANYAMA WANVYO WEZA KUFANYA MIGRATION NDANI YA MBUGA HI HI MOJA.MDAU BLOG KAMA WE NI MTANZANIA HALISI KISHA HUJATEMBELEA MUGA ZETU ZA WANYAMA UTAKUA HUJAJITENDEA HAKI WEWE MWENYEWE.KWA SAFARI ZAKO NDUGU MDAU,WASILIANA NA CLASSIC TOURS AND SAFARIS CLASSIC TOURS & SAFARIS Ltd,
Kijenge/Old Moshi Rd.,
Impala Hotel Ground Floor
Box 7302
Arusha Tanzania
Tel: +255 (27) 250 8448/51
Mobile: +255 (748) 550011 / +255 (744) 008448
Fax: +255 (27) 250 8220

WA-KALI WA SOCCER.


UNAWAFAHAMU HAWA KAMA BADO MTAFUTE KOCHA WA TIMU YA TAIFA(TAIFA STARS)AKUPE UFAFANUZI MZURI ZAIDI.

SEBENE/BAKURUTU


WAMFAHAMU ONYANGO BIRO/ULIWAHIKUSIKIA MAMBO YAKE KTK ANGA LA MUZC,KAMA BADO MTAFUTE KWA MUDA WAKO NDANI YA A-TOWN.

TAA ZA BARABARANI


WA DAU WA BLOG NAULIZA HII NI FAIDA /KARAA KWA CITY LA A-TOWN KUWA NA TAA ZA KUONGOZEA MAGARI BARABARANI?