Monday, March 10, 2008

UTANDAWAZI


HAYA NI MAMBO YA UTANDAWAZI KATIKA MAOFISI YETU KWA KARNE HII YA ICT.

TANZANITE


HAPA KATIKA JIJI LA MARAHA A-TOWN KUNA MADUKA TANZANITE YENYE UBORA WA KIMATAIFA.HILI NI MOJA YA MADUKA HAYO.

MAZINGIRA


HII NDIO MOJA YA PICHA YA MANDHARI YA JIJI LA ARUSHA;BONGO VIPI HAPO UTADHA A-TOWN NI KAMA WAPI??!!!!

HABARI NDIO HII


HUU NDIO UCHOVU WA MECHI

UTALII A-TOWN


HAYA NDIO MAMBO YA UTALII KATIKA JIJI LA A-TOWN,HATA A-TOWN BEACH ZIPO.