Hongera kwa kujitosa kwenye ulimwegu wa ku-blog na naamini utafanya kazi nzuri na kutuoasha mengi ya hapo Arusha. Ushauri wangu wa bure ni kwamba jitahidi usisinzie hata siku moja kutupa machalii wako habari za hapo jijini Arusha. Nisalimie wadau wote hapo Ngurdoto na shemeji yetu mtarajiwa mpe tano kwa kukubali kuungana nawe. Hujatwambia lini utafanya kweli, maana pete ikikaa kidoleni muda mrefu huota kutu chalii!
1 comment:
Imma!

Post a Comment